HIDAYA
Episode 01
hidaya
Hey..! Mambo vipi kapaku
Kwanini Jana ulikimbia?
kapaku
Hapana sijakimbia ni muda tu haukuwa rafiki, maisha yenu watoto wa geti kali ni magumu.
hidaya
Umeanza maneno yako ya ajabu, Nani geti kali? Please uwage muelewa ni mara ngapi nikutalia maneno ya ajabu na haya maisha ya hovyo ya kujihisi?
kapaku
Mmmh... Sahamani hidaya sina maana mbaya kwa maneno yangu, japo....
Kapaku alisita kuendelea kuongea maana alihisi kama Kuna sauti inamwita hidaya kutokea ndani.
Mzeemiyado
Hidaya.. Hidaya
Ameenda wapi tena uyu binti?
hidaya
Kapaku sikia ni baba uyu ananiita naomba ondoka nitaku tafuta baadae, Ila acha mambo ya ajabu
Bye nakupenda
kapaku
Nakupenda pia baadae
Kapaku alishuka toka ukutani na kuondoka mbio kurudi kilingeni
kapaku
Daah leo tena nilikuwa nayatimba hapa, uyu mzee atakuja kuniua, kwanini sikomi mimi kufika kwenye jumba lake
Mzeemiyado
Nimekuita muda mrefu ulikuwa wapi?
hidaya
Nilikuwa nje baba, kwenye bustani Ile ya nyuma nilikuwa na angalia maua yangu na Ile bustani ndogo ya mboga
Mzeemiyado
Sawa hakuna shida mie natoka sitakawia kurudi leo, nimekuita Kuna maagizo ya matata kama atakuja nyuma yangu mwambie anifate, sawa?
hidaya
Haya hakuna shida baba nitamwambia,
Episode 02
Mzeemiyado
Kuna jambo halipo sawa, na hidaya Kuna anayoficha ndo binti pekee Ila nitamuonesha
matata
Boss nilipata ujumbe wako
Ningependa kujua mabadiliko uliyonipatia
Mzeemiyado
Matata, nenda nyumbani kwangu kazi niku angalia mazingira, mengine tutaongea baadae.
Sawa
hidaya
Kama Mzee anasafiri, si ndo nipata muda wa kuwa na kapaku wala ata aje apunguze uoga. Mmmh
hidaya
Ngoja ni mtafute shoga kidawa kabla ya yote
Alichukua simu na kumtafuta rafiki yake mwiza
Kriiii Kriiii kriiiii
Simu iliita kwa sekunde kadhaa bila majibu
Kriiii Kriiii
mwiza
Haloooo, shoga Samahani nilikuwa mbali
hidaya
Mhh nawe mbali wapi?
mwiza
Nilikuwa nawaandalia kina doi chakula apa, mmh niambie chimami
hidaya
Mmh Ata ninayakusema mwenzio, nipo na kimuhemuhe tu cha kuwa na kapaku mzee si kaondoka leo nipo mimi
mwiza
Ila ngoja kwanza, sidhani kama ni vyema chimami na uyo mzee akimkuta apo
mwiza
Mie naona sio busara
hidaya
Ni kweli Ila nilitaka, baada ya matata kuondoka
mwiza
Matata yupo?
Ebu acha usiamini
Nuski
Baada ya mazungumzo yao, mwiza na hidaya haikuwa rahisi kwao kujua nini itakuwa hatima walijisemea kwa kuhisi tu.
matata
Boss ananiweka kwenye majaribu na uyu binti yake, Ata kama ni wivu au mashaka haya yamezidi au ndo uzee?
matata
Binti yake mwenyewe anamuona alivyo kisu uyu, Kuna kijana ata mkwepa kweli au ndo mzee anataka awafukuze kwa mbali ahahahahaha
hidaya
Eeenh kumbe umefika muda mrefu matata, mbona haujabisha hodi na geti haikuwa imefungwa kwani?
matata
Sikuona haja ya kugonga mlango, get ilikuwa wazi nikaingia na sikutaka kuja huko ndani hapa pananitosha usijali
hidaya
Mmh aya sawa mie nipo kwa ndani, kama utakuwa na neno waweza niita tu
matata
Aanh Sawa usijali, nimepishana tu na mzee acha ni msubiri hapa kidogo, maana anaweza niita nimfate alipo nikiwa ndani nitakusumbua
hidaya
Hakuna shida, haya na uo mlango narudisha tu sitoufunga sawa
hidaya
Sasa apa nitulie tu nione mchezo utakuwaje uyu amenikata ngembe kabisa yani, kichwa namuwaza kapaku dahh jmn..
Download NovelToon APP on App Store and Google Play